Mbio ya Aly Kiba yaishusha The one ya Diamond

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Ikiwa ni siku mbili tu toka mwanamuziki Aly kiba atoe ngoma ya Mbio, ngoma hiyo kwa Mara ya kwanza imeshika namba 1 on trending
 
Ingeshafika sema kuna michezo michafu huko you tube
We jamaa nimeshakugutukia sio Great thinker, hivi kweli kwa akili zako unaweza cheza na viewers wa account nyingine YouTube unadhani ni Facebook?? Kuwa mjanja basi hata kidogo
 
We jamaa nimeshakugutukia sio Great thinker, hivi kweli kwa akili zako unaweza cheza na viewers wa account nyingine YouTube unadhani ni Facebook?? Kuwa mjanja basi hata kidogo
Kama ni mgeni wa you tube hutanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…