eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
- Thread starter
- #21
Shululu mambo vipiKijana umepotea sana
Sijapotea mkuu nipo sana tu humu ndani sema nashinda sana kwenye majukwaa ya michezo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shululu mambo vipiKijana umepotea sana
Bado ni mchezajiHivi Ali Kiba alihama au bado mchezaji wa Coastal Union?
Nyimbo zote ni Kali mnoManyimbo yote mabovu
Hakuna kitu kama hiko,Ingeshafika sema kuna michezo michafu huko you tube
Nina rafiki anamilki account YouTube inaltwa Tricod media kwa hiyo ninakaufahamu kiasi hicho kitu hakipo na hakiwezekani acha ushamba.Kama ni mgeni wa you tube hutanielewa
Watu wanafanya sema you tube wanakuwa wanajua viewers halisiNina rafiki anamilki account YouTube inaltwa Tricod media kwa hiyo ninakaufahamu kiasi hicho kitu hakipo na hakiwezekani acha ushamba.
YouTube wanalipa kulingana na masaa ya video zilivyotazamwa huo mchezo ungekuwa unawezekana Le mutuz angefanya kila siku viewers million 10 ili masaa ya kutazama video zake yawe mengi apate mtonyo mwingi.
YouTube ni kampuni ya Google sio Facebook kwamba unaweza chezea chezea tu
Unajifanya mjuaji ila hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23] yan wewe kweli boguz.. Na comments za insta ana nunua.. Na ela anazopata pia ana nunua ad show za mambele ananunua, video kali ananua na mimi nimeangalia video yake kaninunuaWatu wanafanya sema you tube wanakuwa wanajua viewers halisi
Kulipwa unalipwa kwa viewers halisi tu hizo ulizojiongezea utajua mwenyewe.
Hii michezo IPO mkuu sikulazimishi uamini sema haina faida kwa kuwa unalipwa kwa kitu halisi sio fake
mkuu embu tusaidie hiyo michezo michafu angalau 3 tuijueIngeshafika sema kuna michezo michafu huko you tube
Analilia pesa za MO Dewjiwacha wee!!!
Zahera analilia nn
Kimfaacho mtu chakeZote takataka