Mbio ya Aly Kiba yaishusha The one ya Diamond

Hivi Ali Kiba alihama au bado mchezaji wa Coastal Union?
 
mmoja ndani ya masaa 17 ana viewers 1M,,,Mwingine ndani ya masaa ya 48 bado ana 700k.
kulinganisha shuka na blanket huku
 
Hivi hamuwezi kutaja nyimbo ya Alikiba na kuuzungumzia bila kumuhusisha huyo jamaa, mnajua inaonekana wazi bila kushindana na Diamond asiye na muda kabisa hamfiki popote.

Hebu itangazeni nyimbo ya Alikiba bila kutaja Diamond, tuone uzito wake
 
Kama ni mgeni wa you tube hutanielewa
Nina rafiki anamilki account YouTube inaltwa Tricod media kwa hiyo ninakaufahamu kiasi hicho kitu hakipo na hakiwezekani acha ushamba.

YouTube wanalipa kulingana na masaa ya video zilivyotazamwa huo mchezo ungekuwa unawezekana Le mutuz angefanya kila siku viewers million 10 ili masaa ya kutazama video zake yawe mengi apate mtonyo mwingi.

YouTube ni kampuni ya Google sio Facebook kwamba unaweza chezea chezea tu
 
Watu wanafanya sema you tube wanakuwa wanajua viewers halisi

Kulipwa unalipwa kwa viewers halisi tu hizo ulizojiongezea utajua mwenyewe.

Hii michezo IPO mkuu sikulazimishi uamini sema haina faida kwa kuwa unalipwa kwa kitu halisi sio fake
 
Unajifanya mjuaji ila hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23] yan wewe kweli boguz.. Na comments za insta ana nunua.. Na ela anazopata pia ana nunua ad show za mambele ananunua, video kali ananua na mimi nimeangalia video yake kaninunua
 
Vp mkuu?
Screenshot_20190502-005424.jpeg
 
Back
Top Bottom