nimeshuhudia mashindano ya baiskeli Shinyanga kule Ibadakuli na ndani ya uwanja wa CCM Kambarage mzunguko 24 lakini speed ni ileile huku wakiwa na baiskeli manual sana.Nimefuatilia mbio za baiskeli katika mashindano ya Olimpinki yanayoendelea Ufaransa, nikagundua kuwa Watanzania wezetu wangeshiriki mchezo huu wote wangerudi na medali.
Mfano ndugu zetu Wasukuma,kwa baiskeli wanakimbiza baiskeli hata huko Paris sijaona.
Chama cha Baiskeli Tanzania mko wapi ? Kwanini hampeleki washiriki? Nendeni Shinyanga, Mwanza, Geita na Simiyu huko mtapata waendesha baiskeli wazuri. Achanaeni na wala chipsi wa mijini hawa.
Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
View attachment 3060573
* Bila maandalizi ya kweli, watoa aibu balaa.Wasukuma na wapogoro wangeshinda
Mmh! Kuna dhana potofu kuwa wasukuma hawawezi mpira, wanaweza kuendesha baiskeli, wairaq wanaweza riadha, wazaramo wanaweza kusutana, n.k* Bila maandalizi ya kweli, watoa aibu balaa.
Hiyo nadharia ndiyo inatumiwa kiboya kwa kumpeleka Wairak, Wamasai wakidhani watatoboa kwenye riadha
* Kuna mzungu mmoja aliwahi kushiriki madhindano ya baiskeli huko usukumani; alianza kwa hizi baiskeli za mizigo - Phoenix n.k, wasukuma wanamkimbiza wakaaona watashinda; akaweka baiskeli ya mizigo ( ya Kisukuma kando); akachukua chuma chake cha safari, wasukuma walidhani baiskeli imegeuka kuwa ndege.
Na hiyo ilikuwa huko Geita, je akiwa Paris?
Wewe jamaa kule shinyanga wanawake wanaendesha baiskel uku kichwan wana ndoo ya maji. Ukweli wangepelekwa wale tena barabara zenyewe nzuri hv mbona wangebeba dhahabu zote.nimeshuhudia mashindano ya baiskeli Shinyanga kule Ibadakuli na ndani ya uwanja wa CCM Kambarage mzunguko 24 lakini speed ni ileile huku wakiwa na baiskeli manual sana.
Leo nimeangalia mashindano ya baiskeli ya Olimpic nikaona yule mrwanda anaaribikiwa na baiskeli yake.
Hivi wale vijana wa pale Shinyanga kwanini serikali haifanyi jitihada ya kuimarisha mchezo huu?
Nimemwona dada yetu Lattif akitumia sekunde 28.42 kwenye swimming ya mita 50.
Serikali ipeleke washindi wa mashindano ya baiskeli wa humu nchini trials huko zinakofanyika,tusipopeleka trials hatuwezi kushiriki maana huku kwetu hakuna trialsNimefuatilia mbio za baiskeli katika mashindano ya Olimpinki yanayoendelea Ufaransa, nikagundua kuwa Watanzania wezetu wangeshiriki mchezo huu wote wangerudi na medali.
Mfano ndugu zetu Wasukuma,kwa baiskeli wanakimbiza baiskeli hata huko Paris sijaona.
Chama cha Baiskeli Tanzania mko wapi ? Kwanini hampeleki washiriki? Nendeni Shinyanga, Mwanza, Geita na Simiyu huko mtapata waendesha baiskeli wazuri. Achanaeni na wala chipsi wa mijini hawa.
Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
View attachment 3060573