Nimefuatilia mbio za baiskeli katika mashindano ya Olimpinki yanayoendelea Ufaransa, nikagundua kuwa Watanzania wezetu wangeshiriki mchezo huu wote wangerudi na medali.
Mfano ndugu zetu Wasukuma,kwa baiskeli wanakimbiza baiskeli hata huko Paris sijaona.
Chama cha Baiskeli Tanzania mko wapi ? Kwanini hampeleki washiriki? Nendeni Shinyanga, Mwanza, Geita na Simiyu huko mtapata waendesha baiskeli wazuri. Achanaeni na wala chipsi wa mijini hawa.
Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris