Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Wewe Sasa unatafuta safar ya kwenda ujinini😂😂😂Hiyo yamelipa majini bado ya kwako wewe kama wewe.
Wewe Sasa unatafuta safar ya kwenda ujinini😂😂😂Hiyo yamelipa majini bado ya kwako wewe kama wewe.
Acha uhuni kaka mkubwaNimetoa 7,000,000 sio kuwa naipenda Chadema sana Hapana ni kwa sababu naunga sera na misimamo ya chama hicho hata CCM wakinifurahisha naweza kuchanga anytime!
Tuchangie zaidi
😂😂😂😂Ngoja nikupige kizinga kwa aidii nyingine.
Sasa unataka amfananishe na nani, Samia Suluhu Hassan anayeua waTanzania na wakala wa mafisadi?Usimfananishe Nyerere na matapeli
HahahaNaona shobo debe , ebu tafuta kazi ya kufanya ..Kuhsu kuongoza hii nchi sahau.
Watu hawana masiharaNemependa sana Hii
Huko Mpanda mjini, kata Nsemulwa wamechangisha wamepata elfu 20 za #ToneTone wametuma kwenye Chama kwa ajili ya kufanikisha BARAZA KUU. Mungu awabariki sana Viongozi wa Kata ya Nsemulwa.
I wish Viongozi wote Kata ndani ya CHAMA wangeiga huu mfano.👌
Na wewe unaweza kuchangia CHAMA kwenye hii namba-;
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na MaendeleoView attachment 3645661View attachment 3645662View attachment 3645663
Ameen amenMoyo wa upendo na mshikamano Tanganyika❤💪🏿