Mbio za magari(Rally) na Subaru

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Mambo vp wazeiya wa JF?!
Nimekuwa nikifuatilia kwa kiasi fulani mashindano ya magari kwny TV hasa Azam TV, karibu ya asilimia 98 ya magari yanayotumika ni Subaru tena Subaru yenyewe Impreza na Mitsubishi Evolution X kidogo, kwa nini Subaru Impreza tu ndo inaonekana inatamba kwny haya mashindano?! Wazee wa Altezza mnatupigiaga tu makelele huku barabarani na mufler zenu vp mbona kwny mashindano hamuonekani?!
 
Elimu kdg hapo mtaalam
Rally Car ni gari kwa ajili ya mashindano katika njia za aina tofauti kama Subaru,Evo,Citroen,Porsce 911.

Sport Car ni gari zenye uwezo wa kufanya vizuri katika speed na starehe kwa mtumiaji kama Altezza, Mazda Rx 8, Nissan Skyline.

Super Sport Car ni zile gari zenye speed kubwa kama Bugatti,Lamborgini,Ferrari.
 
#1: altezza is a mere rally car yenyewe ni rear wheel drive while subaru na evo ni all wheel drive hivyo inasaidia kwenye traction on loose surfaces such as gravel na kupunguza oversteer
#2: subaru ni more cheaper na inapatikana kwa urahisi zaidi kuliko evo
#3: mitsu evo ni ghali zaidi kuliko Imprezza
 
Subaru zenyewe hasa Subaru Impreza imetengenezwa kwa ajili ya Rally by Default. Kwa mfano Subaru WRX. Abbreviation WRX ni "World Rally eXPerimental" hivyo utaona mtengenezaji kaipa hilo gari jina la Mashindano tangu Kiwandani. Ukweli ni kuwa hata Subaru Forester,linachanganya mapema kukiko gari nyingi za Toyota,hivyo Kampuni ya Fuji Heavy Industries ambayo ndiye mtengenezaji wa Subaru Models(pamoja na ndege na silaha/vifaa vingine) amejijengea heshima kwa kutengeneza gari zenye uwezo mkubwa.
 
Kwa gari zilizo chini ya CC 2000 hakuna gari inaweza kushindana na forester Kwenye kuchanganya mapema(Kwa mtazamo wangu MDOGO)..
Hasa Subaru forester cross sport hii mashine ni balaa utaipenda zaidi Kwenye overtaking
 
Kwa gari zilizo chini ya CC 2000 hakuna gari inaweza kushindana na forester Kwenye kuchanganya mapema(Kwa mtazamo wangu MDOGO)..
Hasa Subaru forester cross sport hii mashine ni balaa utaipenda zaidi Kwenye overtaking View attachment 1206781
Toleo za Subaru huyo Forester yuko nyuma ya Imprezza na Legacy kwa kuchanganya mapema.
Wakati Forester akitumia sekunde 7 kufika 100Km/h
Legacy anatumia 5.8
Imprezza Wrx anatumia 5.6
Imprezza Wrx Sti anatumia 4.7
 
Toleo za Subaru huyo Forester yuko nyuma ya Imprezza na Legacy kwa kuchanganya mapema.
Wakati Forester akitumia sekunde 7 kufika 100Km/h
Legacy anatumia 5.8
Imprezza Wrx anatumia 5.6
Imprezza Wrx Sti anatumia 4.7
Kwa mfano hiyo WRX STI manual transmission mpaka ifikie speed 100 k/pH Kwa sekunde 4 itabidi niondoke na gear namba ngapi?
 
Elimu nzuri
 
Hii Starlet gt turbo inatumika sana katika nchi za wenzetu, hapo ipo kundi gani katika hayo?
 
Hii Starlet gt turbo inatumika sana katika nchi za wenzetu, hapo ipo kundi gani katika hayo?View attachment 1208240
Ndio inacheza Rally, Hata Uganda na Kenya kwenye Rally zao huwa zipo.

Kwenye Rally nako kuna Group kulingana na nguvu ya gari na ukubwa wa engine.

Kama hizi Starlet,Runx na Collora zinakuwa Group la CRC au 2WD.

Hao wakina Subaru na Evo wanakuwa group S au RC2.

Evo 10 na Subaru au gari zenye nguvu huwa zinacheza group la RC2.
 
Sawa sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…