Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Mambo vp wazeiya wa JF?!
Nimekuwa nikifuatilia kwa kiasi fulani mashindano ya magari kwny TV hasa Azam TV, karibu ya asilimia 98 ya magari yanayotumika ni Subaru tena Subaru yenyewe Impreza na Mitsubishi Evolution X kidogo, kwa nini Subaru Impreza tu ndo inaonekana inatamba kwny haya mashindano?! Wazee wa Altezza mnatupigiaga tu makelele huku barabarani na mufler zenu vp mbona kwny mashindano hamuonekani?!