Mbio za mita 42,000 Olimpiki kuna Mtanzania anakimbia?

Mbio za mita 42,000 Olimpiki kuna Mtanzania anakimbia?

7
giphy.gif
 
Yupo Failuna Matanga ...ameshika number 24...Tanzania bado Safari ndefu...mtu pekee nayeamini anaweza Leta medali kesho Ni Gabriel Geay.tumwombee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimeona ktk chati yaani sisi tu ndo tuna Zero award wenzetu wote wana at least bronze au silver walau moja au mbili![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimeona ktk chati yaani sisi tu ndo tuna Zero award wenzetu wote wana at least bronze au silver walau moja au mbili![emoji3][emoji3][emoji3]
bado wengine hawajakimbia mkuu. tuzidishe kufukiza ubani.
 
Maulidi Kitenge hakimbii huko ? maana kila marathon hakosekani🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom