Mbio za sakafuni kweli

Mbio za sakafuni kweli

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,829
Hivi mmemsikia huyu sharobaro anae2pa vilift wadada anavyoua?
 
huyu Vaislay alikuwa meza ya pili ple Kona bar na alipoenda chooni Wini akatia mkojo kwenye kinywaji chake na yule dada ni mjamwepesi labda ndio tatizo.

hehehe halaf inawezekana hata jamaa hajielewi kama kaanzisha sredi! tumsubirie azinduke aje kuona haya mauzauza yake. Lazma ataomba razi tu
 
Hahaha! hii staili ya kuibia wanaume kwa kuwawekea mkojo kwenye kinywaji ilianza uwanja wa fisi na kuvuma sana Lulu Semagongo(kimwana Manywele) alipobambwa akimfanyia zee la kihindi pale mango garden,yaani unazima kabisa yu kanti bilivu!
 
kamanda walikufanyia nini? inaonekana uko fulu eksperiensed
 
Mi nikikaa na hawa viburidisho huwa siachi kinywaji nusu niendapo chooni,namaliza nikirudi naagiza kingine lol! miaka ya nyuma nilishuhudia dada mmoja akiondoka na wallet na simu ya njemba baada ya kuzimika na mabamedi wakakuta kichupa cha mkojo chini ya kiti cha dada aliyeondoka hahaha!
 
hehehe mimi nakuwa sichukui wallet kabisa halaf simu naacha kaunta. Siku hizi simwamini mtu bana hata awe mbunge wa viti maalum.
 
hehehe! wabunge wa vitanda ooops viti maalumu ndio kabisaa,si ndio hawa wanaopunguza mataulo kwenye hizi gesti zetu wakina siye za elfu 5-10,sasa wanategemea tuondoke na maharufu ya perfumes za kike baada ya mechi za ugenini ?
 
kamanda acha nilog out sasa, battery low! acha nikarecharge!

akilejea mleta sredi mwambie nekst time anusuru jero yake kwenda cafe kuanzisha sredi kama hizi!
 
He!Kumbe hiki ni choo cha kike,haya jamani!
 
Huyu sharobaro anaetupa Lift ametuuwa kwa kutuambikiza ngo...a au anaua kwa njia gani?
 
Du mpaka sasa hajarudi, leta story kamili bana
Harudi huyu saa hizi atakuwa nabonge la hangover,hujambo lakini ?

Huyu sharobaro anaetupa Lift ametuuwa kwa kutuambikiza ngo...a au anaua kwa njia gani?
Hautaelewa jamaa alikuwa high alipochezea computer jana usiku,natumai hujamba lovely eyes.
 
Back
Top Bottom