Mbio za ubingwa Simba SC vs Yanga SC mechi zao za ugenini

Yanga atakuwa bingwa
We nisikilize Mimi
Inawezekana au isiwezekane. Kwangu mimi nilikuwa tu nawatahadharisha Simba maana naona wanashangilia mimba badala ya kusubiri kwanza mtoto azaliwe. Pia hawajui maandalizi ya kumpata huyo mtoto ni pamoja na kuwa na mtaji wa magoli wao wanaendekeza "show game" kwenye mechi kama ya jana wakati Prison wameshalala kibla.
 
Unadhani hatutaki kufunga magoli mengi? Uwezo baba.
"Bila Rose Mhando" wa refa kazi.
Penalti za ajabu
Magoli ya offside
Extra-extra times
Kuua move za opponents
Akiguswa mchezaji wetu foul, akiguswa mpinzani go on, go on
 
Umeandika tahadhari muhimu sana
 
Coastal Union piga hawa mbwa bado wanapumua

🀣🀣🀣🀣🀣🀣

πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Simba jipangeni tu kwa msimu ujao. Mechi ya leo na Coastal siyo nyepesi kivile! Mechi na Yanga siyo nyepesi, mechi na Ken gold siyo nyepesi! Mechi na JKT siyo nyepesi!

Yaani kudondosha pointi hapa ni dakika 0 tu na hiki kikosi chenu kisichokuwa na mabadiliko kwa baadhi ya wachezaji.
 
Vipi nyie kwa upande wenu kila mechi ni rahisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…