Mbio za ubingwa zinazidi kunoga

Mbio za ubingwa zinazidi kunoga

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Ili simba iweze kulevel gape la point 7 inatakiwa yanga apoteze mechi 2 na kudroo 1, ama apate droo 7 na simba ashinde mechi hizo tatu, je kwa yanga hii yenye kiu ya ubingwa inaweza kuruhusu ilo?

Azam nao wanakuja moto simba akikaa vibaya anaweza kushangazwa pia kwenye nafasi hiyo ya pili, kiufupi ligi imekuwa tamu!
 
Ligi haijafika hata nusu ila tayal watu washajitangaza Ni Mabingwa.

Mpira hauko namna hiyo ,Mimi naamin ligi Bado Bado hii. Azam nae anakuja kwa Kasi ya 5g lazima watu watambue Hilo.

Mimi mawazo yangu Bado yananiambia Kati ya Yanga ,Simba na Azam wote wana nafasi ya kuwa mabingwa.

Kujiita bingwa wakati haujafikisha hata nusu ya mechi Ni uendawazimu pia inaashiria kuwa kumbe ligi yetu Ni mbovu sana.

Note: Kujiaminisha Sana kwenye mpira wa miguu Ni kujitakia pressure za ujanan ,na vifo vya kujinyonga bila sabab ,mpira una maajabu yake.Ila sio dhambi kujipa matumaini ila hayo matumaini yawe balanced yasiwe na neno lazima tuwe mabingwa.
 
Ligi haijafika hata nusu ila tayal watu washajitangaza Ni Mabingwa.
Mpira hauko namna hiyo ,Mimi naamin ligi Bado Bado hii. Azam nae anakuja kwa Kasi ya 5g lazima watu watambue Hilo...
Umeusoma uzi lakini na kuuelewa? Kuna mahala pameandikwa timu fulani ni mabingwa au ndo yale yale mateso bila chuki, ebu rudia kuusoma Uzi nafikiri umepitiwa kidogo
 
Ligi haijafika hata nusu ila tayal watu washajitangaza Ni Mabingwa.
Mpira hauko namna hiyo ,Mimi naamin ligi Bado Bado hii. Azam nae anakuja kwa Kasi ya 5g lazima watu watambue Hilo...
Well said baba.
 
Gap la point 7 si mpaka Yanga ashinde kesho au?
Kesho Yanga akishinda linakua gap la pointi 10 ila mchezo m1 zaidi,mikia mulibwanji wana kiporo chao j5 na kagera sugar kaitaba na hiyo game wakae kwa kutulia maana 70% wanapigwa
 
Lakini Simba anakuwa na mchezo mmoja mkononi. Kiporo cha Kagera sugar
Kiporo cha kagera sugar uwezi kuhesabu kabla akijachezwa, acha kichezwe kwanza ndo tutajua mbivu na mbichi na hata akishinda bado gape litabaki point 7 Kama endapo yanga itashinda mechi ya kesho kwakuwa wote watakuwa wamecheza michezo 13,
 
Kesho Yanga akishinda linakua gap la pointi 10 ila mchezo m1 zaidi,mikia mulibwanji wana kiporo chao j5 na kagera sugar kaitaba na hiyo game wakae kwa kutulia maana 70% wanapigwa
Ata wakishinda gape litabaki la point 7, sasa wataendelea kuomba yanga ipoteze mechi 2 na idroo 1 na wakati huo wao washinde 3
 
Mpira una mambo mengi,fikiria wachezaji muhimu wa timu wanapata majeraha ya mda mrefu lazima utapata matokeo hafifu ya timu.
hili linaweza kutokea kwa timu yoyote ile,na kuna mengineyo pia wanayoweza kubadili hali ya ushindani wa ligi.
 
Mpira una mambo mengi,fikiria wachezaji muhimu wa timu wanapata majeraha ya muda mrefu lazima utapata matokeo hafifu ya timu.
hili linaweza kutokea kwa timu yoyote ile,na kuna mengineyo pia wanayoweza kubadili hali ya ushindani wa ligi.
Mara mpira unadunda...

Mara mpira una mambo mengi...

Kiufupi LiGI imeshaisha hii...tukutane August 2022.
 
Endeleeni kujipa matumaini ila msimu huu hamtakuja kusahau katika maisha yenu
 
Tatizo sio hilo gap la point saba, tatizo lipo hapa.

-Trend ya uchezaji baina ya hizi timu mbili (wakati Yanga anazidi kuimarika Simba bado anasuasua, hii trend ikiendelea hivi hivi kwa mechi zingine tatu, huenda Yanga akawa na uhakika wa ubingwa)

-Ushindani unaoweza kujionyesha kutoka timu zingine, kuna timu zinakwepa kushuka daraja na kuna timu zinataka kuwa kwenye top 4.
 
Mpira una mambo mengi,fikiria wachezaji muhimu wa timu wanapata majeraha ya mda mrefu lazima utapata matokeo hafifu ya timu.
hili linaweza kutokea kwa timu yoyote ile,na kuna mengineyo pia wanayoweza kubadili hali ya ushindani wa ligi.
Nini maana ya kuwa na kikosi kipana, akiumia mmoja mwingine anacover nafasi yake bila shida na maisha yanaendelea, ndo maana pale yanga umeona dhana ya kuwa na kikosi kipana ameumia yacouba gape lake limezibwa vizuri na Ntibanzokiza, ameumia kibwana gape lake yupo juma shabani na mbungi inapigwa Kama kawa, sasa uwezi kusingizia majeruhi wakati umesajili kikosi cha wachezaji 30 Ina maana hao wengine umeweka bosheni tu au kitu gani!
 
D😀😀😀:
haaa,,,Uto mnakula keki ya taifa,mnaachia maneno ya shombo kama yote[emoji23][emoji28]

mkikosa ubingwa msimu huu akuna mwaka mtabeba tena ubingwa mtani.

ombi langu kama mkibeba ubingwa mtupe amani sisi mashabiki wa Simba,ikiwezekana tukikutana mitaani uko mtupe pole hata kwa maji safi tu[emoji28]
 
Back
Top Bottom