Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Yanga kila namba inachezwa na wachezaji zaidi ya watatu wa kiwango cha kuchezea timu ya Taifa! Hivyo kuhusu suala la majeraha, hilo sahau.Mpira una mambo mengi,fikiria wachezaji muhimu wa timu wanapata majeraha ya mda mrefu lazima utapata matokeo hafifu ya timu.
hili linaweza kutokea kwa timu yoyote ile,na kuna mengineyo pia wanayoweza kubadili hali ya ushindani wa ligi.
Ubingwa mwaka huu unaenda Jangwani. Na kama huamini, basi muulize Moo au Wallace Karia! Watakupa majibu haya haya.