Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Endapo yanga akishinda kesho gape linaongezeka linakuwa la point 10Gap la point 7 si mpaka Yanga ashinde kesho au?
Lakini Simba anakuwa na mchezo mmoja mkononi. Kiporo cha Kagera sugarEndapo yanga akishinda kesho gape linaongezeka linakuwa la point 10
Umeusoma uzi lakini na kuuelewa? Kuna mahala pameandikwa timu fulani ni mabingwa au ndo yale yale mateso bila chuki, ebu rudia kuusoma Uzi nafikiri umepitiwa kidogoLigi haijafika hata nusu ila tayal watu washajitangaza Ni Mabingwa.
Mpira hauko namna hiyo ,Mimi naamin ligi Bado Bado hii. Azam nae anakuja kwa Kasi ya 5g lazima watu watambue Hilo...
Well said baba.Ligi haijafika hata nusu ila tayal watu washajitangaza Ni Mabingwa.
Mpira hauko namna hiyo ,Mimi naamin ligi Bado Bado hii. Azam nae anakuja kwa Kasi ya 5g lazima watu watambue Hilo...
Kesho Yanga akishinda linakua gap la pointi 10 ila mchezo m1 zaidi,mikia mulibwanji wana kiporo chao j5 na kagera sugar kaitaba na hiyo game wakae kwa kutulia maana 70% wanapigwaGap la point 7 si mpaka Yanga ashinde kesho au?
Kiporo cha kagera sugar uwezi kuhesabu kabla akijachezwa, acha kichezwe kwanza ndo tutajua mbivu na mbichi na hata akishinda bado gape litabaki point 7 Kama endapo yanga itashinda mechi ya kesho kwakuwa wote watakuwa wamecheza michezo 13,Lakini Simba anakuwa na mchezo mmoja mkononi. Kiporo cha Kagera sugar
Ata wakishinda gape litabaki la point 7, sasa wataendelea kuomba yanga ipoteze mechi 2 na idroo 1 na wakati huo wao washinde 3Kesho Yanga akishinda linakua gap la pointi 10 ila mchezo m1 zaidi,mikia mulibwanji wana kiporo chao j5 na kagera sugar kaitaba na hiyo game wakae kwa kutulia maana 70% wanapigwa
Hii league imeisha tusidanganyaneLigi haijafika hata nusu ila tayal watu washajitangaza Ni Mabingwa.
Mpira hauko namna hiyo ,Mimi naamin ligi Bado Bado hii. Azam nae anakuja kwa Kasi ya 5g lazima watu watambue Hilo...
Bado mkuuHii league imeisha tusidanganyane
Mara mpira unadunda...Mpira una mambo mengi,fikiria wachezaji muhimu wa timu wanapata majeraha ya muda mrefu lazima utapata matokeo hafifu ya timu.
hili linaweza kutokea kwa timu yoyote ile,na kuna mengineyo pia wanayoweza kubadili hali ya ushindani wa ligi.
Nini maana ya kuwa na kikosi kipana, akiumia mmoja mwingine anacover nafasi yake bila shida na maisha yanaendelea, ndo maana pale yanga umeona dhana ya kuwa na kikosi kipana ameumia yacouba gape lake limezibwa vizuri na Ntibanzokiza, ameumia kibwana gape lake yupo juma shabani na mbungi inapigwa Kama kawa, sasa uwezi kusingizia majeruhi wakati umesajili kikosi cha wachezaji 30 Ina maana hao wengine umeweka bosheni tu au kitu gani!Mpira una mambo mengi,fikiria wachezaji muhimu wa timu wanapata majeraha ya mda mrefu lazima utapata matokeo hafifu ya timu.
hili linaweza kutokea kwa timu yoyote ile,na kuna mengineyo pia wanayoweza kubadili hali ya ushindani wa ligi.
Dπππ:Nini maana ya kuwa na kikosi kipana, akiumia mmoja mwingine anacover nafasi yake bila shida na maisha yanaendelea, ndo maana pale yanga umeona dhana ya kuwa na kikosi kipana ameumia yacouba gape lake limezibwa vizuri na Ntibanzokiza, ameumia kibwana gape lake yupo juma shabani na mbungi inapigwa Kama kawa, sasa uwezi kusingizia majeruhi wakati umesajili kikosi cha wachezaji 30 Ina maana hao wengine umeweka bosheni tu au kitu gani!