Yanga kila namba inachezwa na wachezaji zaidi ya watatu wa kiwango cha kuchezea timu ya Taifa! Hivyo kuhusu suala la majeraha, hilo sahau.Mpira una mambo mengi,fikiria wachezaji muhimu wa timu wanapata majeraha ya mda mrefu lazima utapata matokeo hafifu ya timu.
hili linaweza kutokea kwa timu yoyote ile,na kuna mengineyo pia wanayoweza kubadili hali ya ushindani wa ligi.
sawa mwaka wenu huu ila mkiteleza mahala mmekwisha.mnyama hata waacha salama.Yanga kila namba inachezwa na wachezaji zaidi ya watatu wa kiwango cha kuchezea timu ya Taifa! Hivyo kuhusu suala la majeraha, hilo sahau.
Ubingwa mwaka huu unaenda Jangwani. Na kama huamini, basi muulize Moo au Wallace Karia! Watakupa majibu haya haya.
Bado mapema sanaMbungi limeisha hili tukutane August 2022.
Yanga --- Champions of NBC Premier League 2021/2022.
Hivi ndugu yangu unawaamini TFF wanaweza kukupa zote au moja au hawakupi kabisa usiwaamini sana hesabu hiyo hiyo gap la points 10Lakini Simba anakuwa na mchezo mmoja mkononi. Kiporo cha Kagera sugar
sawa mwaka wenu huu ila mkiteleza mahala mmekwisha.mnyama hata waacha salama.
10 point clear..mkuu acha haya maneno.Bado mapema sana