Mboga gani unaweza otesha nyumbani ili kukabiliana na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?

Mboga gani unaweza otesha nyumbani ili kukabiliana na mfumuko wa bei na ugumu wa maisha?

Pia unaeza kwenda kuchonga kitu kama shelf la chuma ili uweze kuweka mifuko/madumu mengi zaidi na kubana nafasi kama eneo ni dogo. Cha muhim n kuhakikisha unajua direction ya mwanga ili kusaidia photosynthesis.
Kama ka hela kakikutembelea unaeza funga a simple drip irrigation kwenye hzo shelf ili iwe rahisi kumwagilia kila siku bila kutumia nguvu nyingi.
 
Tumia hio njia
FB_IMG_1675837963977.jpg
FB_IMG_1675796793183.jpg
 
  • mihogo au mbaazi panda kama uzio kuzunguka kwenye nyumba hapa unaweza kupanda na maboga au majani ya Kunde sababu inaweza ikatambaa kwenye hayo mazao.
  • panda chineze au mchicha halafu panda kitunguu majani karibu kitasaidia kufukuza wadudu
  • weka tuta moja panda tembele bangi na tembele la kawaida na vazi vitamu
  • kama eneo lako sio kubwa basi tengeneza bustani kichuguu utapanda mazao mengi katika eneo dogo.
 
Back
Top Bottom