Pia unaeza kwenda kuchonga kitu kama shelf la chuma ili uweze kuweka mifuko/madumu mengi zaidi na kubana nafasi kama eneo ni dogo. Cha muhim n kuhakikisha unajua direction ya mwanga ili kusaidia photosynthesis.
Kama ka hela kakikutembelea unaeza funga a simple drip irrigation kwenye hzo shelf ili iwe rahisi kumwagilia kila siku bila kutumia nguvu nyingi.