Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

Ndo navyofanyaga napika mboga za kukaa week mbili
Yeah haswa ukiwa na fridge lenye hali nzuri na ukawa na knowledge nzuri ya uhifadhi wa chakula. Btw mboga zikiungwa kadri zinavyokaa zinazidi kuwa tamu, spices get better with time.

Watu wanaolalamikia chakula kilichohifadhiwa ni either hawana mafridge bora au hawajui kuhifadhi vyakula vizuri vikabaki fresh.
 
Exactly ubaridi Uwe Wa kutosha
 
Mayai 3 ya buku katia nyanya, kitunguu,karoti,na hoho ukipenda halafa kaanga hapo dakk 3 tu na ugali mkubwa, usisahau kuleta ushuhuda hapa jukwaan
Mayai unachemsha kwanza au unayagonga na kuyakorogea humo humo kwa vitunguu, karoti na hoho
 
Mayai unachemsha kwanza au unayagonga na kuyakorogea humo humo kwa vitunguu, karoti na hoho
Ukipenda unakaanga vitunguu, karot na nyanya vikiiva unatia mayai humo humo au unachanganya pamoja wakati wa kukoroga safi kabisa
 
1. Mayai matatu
2. Kitunguu kimoja
3. Nyanya mbili
4. Mafuta na chumvi.

Five minutes mboga imeiva, ugali unasongwa ghetto linachangamka.
 
Back
Top Bottom