SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Mwali tunae Oktoba na tunatamba nae. Hivyo kuanzia sasa hadi Oktoba Media zote, Wasanii, wananchi wote wapi upande wetu. Tupewe nini tena?
Mapigo yapi?Ohohooooo!
Farao alipewa ishara nyingi na mapigo mengi lakini hakusikia. La hasha kuna pigo moja tu , pigo takatifu alipata akasalimu amri.
Wananchi gani hao mkuu?...wananchi wote wapi upande wetu. Tupewe nini tena?