mputamaseko
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,401
- 949
siijui hiyo mbolea ila mbolea nyingi sana zinatengenezwa bila kiwango na kiwango wanachoandika siyo kweli au hakipo,mfano nilitumia mbolea moja ilikuwa imendikwa ina calcium nikatumia kwenye nyanya ili isiwe na bloosam end rot na nikakuta bado na pata tatizo, nikatumia ya osho easy grow ya calcium sijapata shida tena, kwa hiyo ni vizuri tutumie za kampuni ambazo zimethibitishwa ili kupata mavuno bora na wana aina tofauti kulingana na hatua ya mmea wako.Kweli Tujuze Mkuu Stemcell Nini Impact Ya Supergro Kwenye Nyanya?