mputamaseko
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,401
- 949
Habari zenu wana JF napenda kupata maelezo kuhusu faida na hasara kwa mkulima ambae atatumia mbolea ya maji aina ya SuperGro shambani kwake. Nimejaribu kuomba details za hiyo mbolea kwa wauzaji wameishia kuniambia kuwa haipatikani kwenye maduka ya kawaida ya kilimo na mifugo,mtu akitaka lazima awaone mwenyewe tu sasa napata mashaka ya kwenda kuitumia kwenye projects zangu kutokana na kuwa na taarifa finyu juu ya mbolea hii.