Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni wizi mbolea za maji zipo kibao. mfano zipo flexil p hii inasimama kaka dap. flexil inasimama kama UREA na flexil quantity inasimama kama CAN hizi zinapatikana kwenye maduka yote ya tanganyika farmers association. zinatengenezwa italy. nimezitumia mara ya kwanza na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa na nimepunguza gharama sana
NAWAHUKURU POSITIVE TAKERS WOTE! Mbolea hii inafaida zifuatazo!
INAOKOA GHARAMA > Hili ni kutokana na ukweli kwamba hii mbolea inafanya kazi eneo kubwa kwa kiasi kidogo tu yaani lita 1 kwa eka 1. Ambapo LITA hiyo mimi nauza TZS 35000 TU!
INAFAIDA KWENYE ARDHI!
Ni kwamba katika hii mbolea ardhi kama inapitisha maji sana hii inauwezesha udongo kuongeza uwezo wa kutunza maji.
KWA MIMEA:- Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa huenda jua likawa ndo tatizo kubwa. Mbolea hii inauongezea mmea uwezo wa kujikinga na athari zitokanazo na mionzi ya jua.
INAFAIDA NYINGI HIZO NI BAADHI TU!
kwa uzoefu niliokuwa nayo na shauri wakulima watumie booster ya unga kama easygrow kwa sababu imethibishwa ukilinganisha na hizi booster za maji ambapo nyingi zinatengenezwa kienyeji.Duka lako liko wapi nikutembelee kesho.