Mbolea bora ya maji

Mbolea bora ya maji

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
35
Ninayombolea nzuri sana inayotengenezwa na wataalamu wa kilimo. Inafanya kazi zaidi ya booster. Lima mazao yoyote yale kisha tumia mbolea hii utapata faida kubwa sana.
KARIBU SANA TUJENGE UCHUMI PAMOJA 0763797853
 
Hebu ielezee vizuri watu tupate hamasa. Maelezo yako mafupi kama classified advert.
 
acheni wizi mbolea za maji zipo kibao. mfano zipo flexil p hii inasimama kaka dap. flexil inasimama kama UREA na flexil quantity inasimama kama CAN hizi zinapatikana kwenye maduka yote ya tanganyika farmers association. zinatengenezwa italy. nimezitumia mara ya kwanza na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa na nimepunguza gharama sana
 
Tumekupata mkuu ila jazia jazia nyama kidogo ili mchuzi upatikane mkuu.
Tuambie kuhusu bei zina vary vipi na makisio ya kuokoa pesa yangu iwapo ntachagua kutumia hii mbolea ya maji dhidi ya hizi tulizozoea ambazo ni sold particals. Tupe pia makisio ya navuno kwa eka moja kama faida mtambuka ya chaguo hilo.
 
NAWAHUKURU POSITIVE TAKERS WOTE! Mbolea hii inafaida zifuatazo!

INAOKOA GHARAMA > Hili ni kutokana na ukweli kwamba hii mbolea inafanya kazi eneo kubwa kwa kiasi kidogo tu yaani lita 1 kwa eka 1. Ambapo LITA hiyo mimi nauza TZS 35000 TU!

INAFAIDA KWENYE ARDHI!
Ni kwamba katika hii mbolea ardhi kama inapitisha maji sana hii inauwezesha udongo kuongeza uwezo wa kutunza maji.

KWA MIMEA:- Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa huenda jua likawa ndo tatizo kubwa. Mbolea hii inauongezea mmea uwezo wa kujikinga na athari zitokanazo na mionzi ya jua.
INAFAIDA NYINGI HIZO NI BAADHI TU!
 
Duka lako liko wapi nikutembelee kesho.
 
Duka lako liko wapi nikutembelee kesho.
kwa uzoefu niliokuwa nayo na shauri wakulima watumie booster ya unga kama easygrow kwa sababu imethibishwa ukilinganisha na hizi booster za maji ambapo nyingi zinatengenezwa kienyeji.
Kwani ya chenga ambayo unachanganya wewe na maji ina uhakika wa asilimia iliyoandikwa.
 
Back
Top Bottom