D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Nov 18, 2024 #1 Nimepanda shamba la nanasi. Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna. Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
Nimepanda shamba la nanasi. Huu ni mwaka pili. Nimeshaanza kuvuna. Nahitaji kuongeza/kuweka mbolea ya kunyunyizia [Foliar fertilize]. Ni ipi inayofaa?
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 12,823 Reaction score 21,210 Nov 18, 2024 #2 Wakulima na wataalamu wa kilimo watupe jibu tupate ujuzi.