hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake?
Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo.
Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya kilimo kuwa wakali Kwa kuhakikisha mwananchi anapata mbolea ZeNye virutubisho sahihi na sio mbolea ZeNye virutubisho vya chini ya kiwango kulingana na mazao ya mkulima shambani.
Madawa ya shambani na madawa ya ndege Kwa wafugaji: kumekuwa na madawa mengi humu maduka ya mitaani ila hayo madawa yamepitishwa na tbs ila ukinunua na kwenda nayo site kutumia hayana matokeo chanya Kwa mkulima na mfugaji ni wakati Sasa wa serikali kuhakikisha dawa ziwe za ndege au wanyama au kilimo xinakidhi vigezo Kwa kutumika na ziwe na matokeo Kwa mkulima na mfugaji. Haiwezekani madawa ni mengi bei dukani ila ni madawa yasiyo na matokeo site na bado yanauzwa madukani kila miaka.
Ni wakati Sasa wa serikali kupita na kukagua madawa haya wanayo yapitisha wao Kwa tbs lakini site madawa hayo hayana matokeo Bora na humcost mkulima au mfugaji kuhangaika n ununuzi wa madawa lukuki bila matokeo chanya na Bora site kwake.
Mbegu :hapa Pana shida watu kupaka rangi mbegu ili wauze hasa kama mbegu Bora huku kwenye kilimo Cha mahindi pia Kuna mbegu zilizoisha muda wake bado ziko madukani kama sio stoo Kwa muuzaji mkubwa hizi nazo bado ni tatizo na huleta ukwamishaji kilimo Kwa mkulima wa chini.mfno mbegu imepita muda inaweza badilishwa mifuko kuficha expdate hilo likitokea kwenye mbolea sasa Kwa hali hii tusipo Tatua haya mambo Kwa mtanzania anae pambana n kilimo ni ngumu kufanikiwa kwake.
Serikali inapaswa kuwajibika katika hya kama kweli inataka mkulima na mfugaji wa kitanzania afanikiwe kimaisha.
Kilimo ni UTI wa mgongo wa mtanzania kama pia serikali itawajibika Kwa asilimia mia kwenye kila maeneo muhimu