Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,240
Aidha naibu waziri alisitisha leseni za makampuni ya STACO na Mohamed Enterpries mnamo August 07 mwaka jana, ambapo baada ya siku kadhaa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Mbolea Tanzania Suzana Ikelya alitua Mbozi na kukamata Mbolea kwenye duka la STACO
Mbolea yenye alama ya kampuni ya YALA aina ya DAP ambayo pia imekutwa ikiwa chini ya kiwango
Katika hali inayoonyesha kuna mchezo mchafu wa kuendelea kuwamaliza wakulima wilayani Mbozi, shehena ya Mbolea mbovu iliyozuiwa kuuzwa mwaka jana hatimaye upepo umepita na kuruhusu iendelee kuuzwa kwamba ipo juu kiviwango!
SOURCE: http://mbeyayetu.blogspot.com/
MY TAKE
Anayeuza mbolea feki/chini ya kiwango awe treated kama mhujumu uchumi Mbozi twawategemea kwa kahawa maharage na maindi sasa uku si kutuletea baa la njaa(maindi) pia inchi kukosa forex(mauzo ya kahawa)
Na pia nakumbuka kuna makampuni yalifungiwa kuuza mbolea toka mwakajana sasa mbona bado wanauza?Au iyo ban ilikuwa uplifted?