Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?

Mazao yote ya nafaka weka wiki ya pili baada ya kuota, fanya palizi weka mbolea, kwa mazao ya mbogamboga weka mara ya mazao kushika after transplanting
 
We jamaa kwenye mazao ya nafaka CAN huwekwa km top dressing fertilizer. Na top dressing fertilizer huwekwa kuanzia wiki 6 au 8 nane toka kuota hasa kwa mahindi. Wiki 2 uliyoisema ni mapema sana kwani kwa kipindi hicho mbolea ya kupandia km DAP inakuwa bado inafanya kazi. Na uzuri siku hizi inashauriwa kuweka mbolea ya kupandia wiki 1 au 2 baada ya mahindi kuota kutokana na changamoto ya haliya hewa
 
Uko sahihi sawa Kila mbolea Ina kaz yake
 
Na hii nayo ni mbolea gani jamani( nimeiona leo mahali wakulima wananunua kama mbolea ya RUZUKU
IMG_20221227_191251_833.jpg

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom