Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?

Mazao yote ya nafaka weka wiki ya pili baada ya kuota, fanya palizi weka mbolea, kwa mazao ya mbogamboga weka mara ya mazao kushika after transplanting
 
Mazao yote ya nafaka weka wiki ya pili baada ya kuota, fanya palizi weka mbolea, kwa mazao ya mbogamboga weka mara ya mazao kushika after transplanting
We jamaa kwenye mazao ya nafaka CAN huwekwa km top dressing fertilizer. Na top dressing fertilizer huwekwa kuanzia wiki 6 au 8 nane toka kuota hasa kwa mahindi. Wiki 2 uliyoisema ni mapema sana kwani kwa kipindi hicho mbolea ya kupandia km DAP inakuwa bado inafanya kazi. Na uzuri siku hizi inashauriwa kuweka mbolea ya kupandia wiki 1 au 2 baada ya mahindi kuota kutokana na changamoto ya haliya hewa
 
Uko sahihi sawa Kila mbolea Ina kaz yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…