Hizo mbolea za Otesha na Amidas zinazidi ubora was can na ureaKuna mbolea za YARA pia
1. OTESHA na
2. AMIDAS
Kwenye ubora sina uhakika ila naona Arusha wanatumia sana hizi. Na Sisi scheme yetu msimu huu tumeshauriwa tutumie kwa mara ya kwanza na kuachana na UREA & CAN ingawa hazijawahi kutuangusha. Najua ni biashara tu za mboleaHizo mbolea za Otesha na Amidas zinazidi ubora was can na urea
Unalimia wapi Ndugu? Mna scheme ya umwagiliaji?Kwenye ubora sina uhakika ila naona Arusha wanatumia sana hizi. Na Sisi scheme yetu msimu huu tumeshauriwa tutumie kwa mara ya kwanza na kuachana na UREA & CAN ingawa hazijawahi kutuangusha. Najua ni biashara tu za mbolea