Mbolea ya mpunga

Mbolea ya mpunga

Mayova

Senior Member
Joined
May 10, 2018
Posts
189
Reaction score
132
Ndugu zanguni wakulima, hivi ni mbolea gani inafaa kuwekwa kwenye mpunga ili uweze kuzaa vizuri?
 
kwa uzoefu, mpunga unawekwa mbolea mbalimbali tokea wakati wa kupanda Hadi baada ya palizi ya pili.
UREA
CAN
DAP(ya kupandia hii)
zote hizi hutumika hizi ingawa zipo matoleo mengi na majina tofauti tofauti.
 
Kuna mbolea za YARA pia
1. OTESHA na
2. AMIDAS
 
kwa uzoefu, mpunga unawekwa mbolea mbalimbali tokea wakati wa kupanda Hadi baada ya palizi ya pili.
UREA
CAN
DAP(ya kupandia hii)
zote hizi hutumika hizi ingawa zipo matoleo mengi na majina tofauti tofauti.
Thanks ma broo
 
Hizo mbolea za Otesha na Amidas zinazidi ubora was can na urea
Kwenye ubora sina uhakika ila naona Arusha wanatumia sana hizi. Na Sisi scheme yetu msimu huu tumeshauriwa tutumie kwa mara ya kwanza na kuachana na UREA & CAN ingawa hazijawahi kutuangusha. Najua ni biashara tu za mbolea
 
Unalimia wapi Ndugu? Mna scheme ya umwagiliaji?
 
Back
Top Bottom