DOKEZO Mbolea za ruzuku hakuna kabisa

DOKEZO Mbolea za ruzuku hakuna kabisa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Sisi wakulima wa ukanda wa Pwani tunateseka sana na mbolea , hakuna mbolea yoyote ya Ruzuku kwa sasa ilipo kwa mawakala , toka mwezi wa 11 mwishoni, kila wakala anasema serikali haijalipa wasambazaji hivyo mawakala wakichukua mbolea na kuuza kwa ruzuku hawatalipwa .

Tunaomba Waziri wa Kilimo asema waziwazi nini kinaendelea kati yao na wasambazaji.
 
Back
Top Bottom