Mbolea zinazoongeza maji kwenye mmea

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu wana jf habari,

Nimelima zao la kahawa miaka miwili iliyopita imeanza kuzaa lakini nachoshangaa majan yote yamepukutika na matunda yake yamekuwa kama yamekauka nilipojaribu kuuliza wenyeji wakasema mmea hauna maji wanasema ningeweka mbolea ya kuongeza maji katika mmea.

Je, wakuu ni mbolea gan ya kiwandan ukiachana na samad ndio inayoongeza maji kwenye mmea?
 
Miti inazaa sana lakini haina majan inapelekea kukauka
 
Sasa kwanini pia hukuwauliza hao wenyeji?
 
Hakuna mbolea inayoongeza maji kwenye mmea ila samadi inasaidia kutunza unyevu kwa kiasi fulani
 
Kahawa hufanyiwa mulching (mm si mtalaam wa kilimo) ,ila nadhani ukifanya hivo utaweza ku save kiasi fulani Kwa huyo ukame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…