devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Wakuu wana jf habari,
Nimelima zao la kahawa miaka miwili iliyopita imeanza kuzaa lakini nachoshangaa majan yote yamepukutika na matunda yake yamekuwa kama yamekauka nilipojaribu kuuliza wenyeji wakasema mmea hauna maji wanasema ningeweka mbolea ya kuongeza maji katika mmea.
Je, wakuu ni mbolea gan ya kiwandan ukiachana na samad ndio inayoongeza maji kwenye mmea?