dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Mbona ndinga bei poa sana? Au upigaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRA watakufilisi siku gari imeingia bandarini.Tatizo Kodi ya hapa bongo ndo mtiti.
Boss kwa akili zako la harakaharaka LC200 upate kwa less than $3500.Mbona ndinga bei poa sana? Au upigaji?
View attachment 2520732View attachment 2520733View attachment 2520734View attachment 2520735
NijuzeUnamjua Mchina?
Unaweza ukanionesha soko lingine linalouza vitz new model kwa usd 400?Kwan ni soko gani la nje ya nchi ambayo wanauza gari used garama??
Tatzo ni kodi kubwa za TRA baada ya gari kutua bongo!!
Unaweza ukanionesha soko lingine linalouza vitz new model kwa usd 400Kwan ni soko gani la nje ya nchi ambayo wanauza gari used garama??
Tatzo ni kodi kubwa za TRA baada ya gari kutua bongo!!
Kwani kodi inabadilika kulingana na soko ulikoitoa bidhaa?Tatizo Kodi ya hapa bongo ndo mtiti.
Ndo maana nikauliza baada ya kuona bei chee sana, sasa alibaba kwa nn hawapo proffesional waweke bei ambayo hawajawasiliana na mwenye bidhaa?Boss kwa akili zako la harakaharaka LC200 upate kwa less than $3500.
Yaani hiyo hela haitoshi hata kununua cylinder block la engine ya hiyo gari. Achana na engine yenyewe.
Halafu biashara za alibaba haziendi kama hivyo unavyowaza wewe.
Alibaba mambo ya prices unachat na Seller, anacreate payment link ndio unafanya malipo.
Kuna vitu vingi ambavyo iliyoandikwa hapo ni tofauti.na.bei atakayokutajia seller baada ya kuwasiliana naye.
Hapo sasa sijui. Ila alibaba iko tofauti na asilimia kubwa ya online markets unazozijua.Ndo maana nikauliza baada ya kuona bei chee sana, sasa alibaba kwa nn hawapo proffesional waweke bei ambayo hawajawasiliana na mwenye bidhaa?
Jidanganye.Kwan ni soko gani la nje ya nchi ambayo wanauza gari used garama??
Tatzo ni kodi kubwa za TRA baada ya gari kutua bongo!!
Usije vuta rims za gari ukijua ndo gari lenyeweMbona ndinga bei poa sana? Au upigaji?
View attachment 2520732View attachment 2520733View attachment 2520734View attachment 2520735
Alibaba hawajawahi kuuza magari toka dunia iumbweAlibaba hawauzi magari
Kifupi ni kuwa alibaba kakukutanisha na buyer ila hizo bei ni clickbait tu.Boss kwa akili zako la harakaharaka LC200 upate kwa less than $3500.