Mbona alibaba ndinga bei chee sana?

Boss kwa akili zako la harakaharaka LC200 upate kwa less than $3500.

Yaani hiyo hela haitoshi hata kununua cylinder block la engine ya hiyo gari. Achana na engine yenyewe.

Halafu biashara za alibaba haziendi kama hivyo unavyowaza wewe.

Alibaba mambo ya prices unachat na Seller, anacreate payment link ndio unafanya malipo.

Kuna vitu vingi ambavyo iliyoandikwa hapo ni tofauti.na.bei atakayokutajia seller baada ya kuwasiliana naye.
 
Kwan ni soko gani la nje ya nchi ambayo wanauza gari used garama??

Tatzo ni kodi kubwa za TRA baada ya gari kutua bongo!!
Unaweza ukanionesha soko lingine linalouza vitz new model kwa usd 400
Tatizo Kodi ya hapa bongo ndo mtiti.
Kwani kodi inabadilika kulingana na soko ulikoitoa bidhaa?
 
Ndo maana nikauliza baada ya kuona bei chee sana, sasa alibaba kwa nn hawapo proffesional waweke bei ambayo hawajawasiliana na mwenye bidhaa?
 
Kifupi ni kuwa alibaba kakukutanisha na buyer ila hizo bei ni clickbait tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…