Mbona amekuwa overt namna hii ?

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,259
Reaction score
1,056
Habari za leo wana jamvi? mwenzenu mi si ,mpangiliaji mzuri sana wa thread ila ntajitahidi kwa kadiri niwezavyo.
Ni hivi last month kazini kwetu walikuja wafanyakazi wapya 4 (wote wa kike).katika interaction nao mmoja alionekana kama kavutiwa nami kimaongezi nami nikachukulia poa tu kwani mimi nina asili ya uongeaji kimtindo. jioni tulipeana namba za simu ila hakujua kama jioni ile mi nilikuwa naanza likizo nami sikuona necessity ya kumwambia. Alisikitika sana kusikia nipo likizo. after a time akaanza nitumia text za salamu nami nikijibu kikawaida tu. akaanza mara " miss u truly " na vimalizio vya namna hiyo. Baadae text zake zilikuwa zimekaa romantically zaidi ila zote nilikuwa napotezea najibu as dry as I could.
muda wote huo mi nlikuwa Arusha mapumziko so na request kibao nimletee zawadi za huko. I dont know why coz alipita hata kwangu wakati wa kutoka job kwani ni jirani na ofisini akaona na picha kubwa kwenye frem ya mimi na fiance wangu & she appreciated her.najua hapo kutakuwa na swali kwanini nilimpeleka kwangu? well ni zile karibu zetu za kibongo za kuzugana ila amazing enough hakuwa hata na second thought zaidi ya kujongea na tukaingia ndani and had few chats.
Nimerudi ila sijamwambia na kazini bado sijaanza ingia coz nime extend likizo nimesema naumwa.
swali ni je jamani; ni kwanini anafunguka namna hii kihisia wakati tumeonana mara moja tu na she knows kuwa niko engaged na someone else and she is engaged as well coz alisema anae mtu wake yupo Mwanza na wako engaged.sisi tupo Dar na fiance wangu yupo Iringa kimasomo. naombeni ushauri ndugu zangu
 
hivi kweli unauliza makofi polisi?

Uzuri wote mko engaged 'friends with benefit'
 
Reactions: EMT
Engagement sio ndoa kaka.... Survival of the Fittest! Alafu unauliza kwa nini unadhani feelings zinakuja tu kuangalia mazingira? Kwamba sababu una mchumba basi moyo wake hauwezi kukuangukia? Ingekua hivo ingekua raha sana na life would have been so simple.

Wewe hapo kama unajua it won't work out mwambie tu mapema na straight forward usimpotezee mda mwenzio na kumpa matumaini.... Itaweza kumuuma akisikia but ata over come... Kuliko ukim lead on kwa mda mrefu ataja umia zaidi.
 
Reactions: BPM
hivi kweli unauliza makofi polisi?

Uzuri wote mko engaged 'friends with benefit'


hahaha.... Kongosho naona wewe ushauri wako mkuu saizi ni "friends with benefit" au "No strings attached" lol
 
si unajua kipofu akiona mwezi.
Hata akiulizwa kibatari atasema 'nakijua kinawaka kama mwezi'

nimependa sana yale maisha ya 'NSA' hata kama mie siyawezi lol

hahaha.... Kongosho naona wewe ushauri wako mkuu saizi ni "friends with benefit" au "No strings attached" lol
 
Simple Mathematics tell her the truth that you don have a room in your heart for her,na ujiweke mbali nae hasara ni kubwa kuliko faida inapotokea hali kama hiyo we si wakwanza pia hata kwetu wapo
 
kwani mleta mada kasema hapendi au anashangaa kampendaje wakati kamuona once tu.

Labda anataka tumhakikishie kuwa inawezekana ili naye abwage manyanga.

Hadi kuleta huu uzi hapa, yule dada ni Man U na huyu mleta mada ni Livapuu

Simple Mathematics tell her the truth that you don have a room in your heart for her,na ujiweke mbali nae hasara ni kubwa kuliko faida inapotokea hali kama hiyo we si wakwanza pia hata kwetu wapo
 
hahaha safi kabisa wote fiance wapo mbali huyo anahitaji intimacy bana so mpe na wee mwenyewe unapoza mwili hahahaha
 
Mkaribishe tena nyumbani kwako afu umuulize haya maswali akujibu praktikale
 
muoneshe kama wewe ni mwanaume...jus give her wat she want, be gentle huh...
 
sikuhizi makazini mapenzi yamezidi kha...mwambie tu ukweli il asipoteze nguvu bure akashindwa kuwinda sehem nyingine
 
Wewe na yeye mumeonana siku moja mukapeana namba za simu baadae ukaenda likizo.

Huo mwaliko wa nyumbani ulitokea siku hiyo hiyo ya kwanza, au nimeelewa vibaya?
 
Wewe na yeye mumeonana siku moja mukapeana namba za simu baadae ukaenda likizo.

Huo mwaliko wa nyumbani ulitokea siku hiyo hiyo ya kwanza, au nimeelewa vibaya?

labda hukusoma vizuri hiyo thread ndg,nimesema hv,2lipeana namba za simu,then after work 2likuwa njia 1 coz mi naishi si mbali sana na ofisini ila ndio the easiest way ya yeye kufika bus stop that is why I led her that way na sikumualika baada ya kufika kwangu nilimpa maelekezo hadi kituoni ila nikamwambia karibu hapa ndio napoishi nae hakuwa na hiyana kujibu ahsante na kukubali karibu yangu.
mind u I neva insisted.
 
unataka kuonyesha hali ya kutokufahamu wakati unafahamu. hakuna kitu kibaya kama kujiweka wazi . we hapa uliweka waz maisha yako na ndo maana nae akazid kufunguka na hata ulipoamua kutoa ukaribisho alikuwa anajiamin zaid kwa vile ulimpa nafas. sasa hapa unataka kuficha udhaifu kwa kutafuta pa kvokea pole
 
Prince bana,kwa nini unauliza majibu,we gonga,ukinogewa jenga kibanda,ka vipi unamkatia laini ajijue mbele ya safari.Utaachaje mdondo?
 
unajua uko kama bakhresa, sema wewe ume-invest katika mapenzi.

Prince bana,kwa nini unauliza majibu,we gonga,ukinogewa jenga kibanda,ka vipi unamkatia laini ajijue mbele ya safari.Utaachaje mdondo?
 
Hivi kuna mtu akikutana na mwizi anajiuliza "U've got your own wallet why are you interested in mine?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…