Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Habari za leo wana jamvi? mwenzenu mi si ,mpangiliaji mzuri sana wa thread ila ntajitahidi kwa kadiri niwezavyo.
Ni hivi last month kazini kwetu walikuja wafanyakazi wapya 4 (wote wa kike).katika interaction nao mmoja alionekana kama kavutiwa nami kimaongezi nami nikachukulia poa tu kwani mimi nina asili ya uongeaji kimtindo. jioni tulipeana namba za simu ila hakujua kama jioni ile mi nilikuwa naanza likizo nami sikuona necessity ya kumwambia. Alisikitika sana kusikia nipo likizo. after a time akaanza nitumia text za salamu nami nikijibu kikawaida tu. akaanza mara " miss u truly " na vimalizio vya namna hiyo. Baadae text zake zilikuwa zimekaa romantically zaidi ila zote nilikuwa napotezea najibu as dry as I could.
muda wote huo mi nlikuwa Arusha mapumziko so na request kibao nimletee zawadi za huko. I dont know why coz alipita hata kwangu wakati wa kutoka job kwani ni jirani na ofisini akaona na picha kubwa kwenye frem ya mimi na fiance wangu & she appreciated her.najua hapo kutakuwa na swali kwanini nilimpeleka kwangu? well ni zile karibu zetu za kibongo za kuzugana ila amazing enough hakuwa hata na second thought zaidi ya kujongea na tukaingia ndani and had few chats.
Nimerudi ila sijamwambia na kazini bado sijaanza ingia coz nime extend likizo nimesema naumwa.
swali ni je jamani; ni kwanini anafunguka namna hii kihisia wakati tumeonana mara moja tu na she knows kuwa niko engaged na someone else and she is engaged as well coz alisema anae mtu wake yupo Mwanza na wako engaged.sisi tupo Dar na fiance wangu yupo Iringa kimasomo. naombeni ushauri ndugu zangu