Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hiyo ni kanuni ya CAF, kuwa television ya taifa itaonesha mashindano ila hawapaswi kuvusha hayo matangazo nje ya nchi.Mshana na ww unatetea hili? Sawa kwanini wazifungie UBC na KBC ambazo nazo zinarusha huu mpira? inapofika tu muda match inaanza wanazizima
Hahahaaa. Si atabeba shuka lile la Masai jirani.
Ooh. Tatizo pia michuano yenyewe iko mwishoni na vyuma hivi kuanza kuhama hama upande wa Visimbuzi ni sawa na matumizi mabaya ya pesa jirani. [emoji3][emoji3]
Mechi ya Final ntakwenda kibanda umiza tu jirani. [emoji85][emoji85]
Ntakwenda na Baba Chanja jirani. πππKinanda umiza kuna watu wabaya. Huogopi wakikuiba?? Maaana nyinyi kla siku mnatukataza tusiende
Hahah hapana we baki na kina juniors. Wanahitaji malezi yako. Muda wote.Ntakwenda na Baba Chanja jirani. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi tukiambatana hata sina shida jirani.
Hongera unae jielewa...Hivi unajielewa kweli ww? Kwanini azam TV wanaziblock UBC na Rwanda Tv unapofika muda wa match ilihali channel yao ya UTV haioneshi mpira?
Jamaa wamekata matangazo ya soka kwani soka ni sherehe kumbukeni tumelipia hii huduma sio msaada au kama vipi kateni matangaza sio mtuletee mziki ya kihuni
Au mruhusu matangazo ya KBC na UBC tuomboleze wote huu ni kutukomoa na miziki
Kwa king'amuzi gani? Imeshatoka kwenye majaribio sidhani kama itaendelea kuwa bureUtv hata kama hukulipia unaipata.
Kwa king'amuzi gani? Imeshatoka kwenye majaribio sidhani kama itaendelea kuwa bure
Ivi dstv kile kifurushi cha bomba cha @19,000 uwa kinakuwa na channel zinazoonyesha ligi kuu ya uingireza na uefa championi league??Kama siyo DSTV jua bado huna king'amuzi.
Mikoani kuna huduma za Cable TV