Mbona Baleke Hachezi?

Mbona Baleke Hachezi?

Hata Duke Abuya naye naona anasugua tu benchi! Binafsi natamani kumuona akicheza mechi nyingi ili nione tofauti yake na Mudathir ambaye kuna wakati hupotea kabisa uwanjani.
 
Back
Top Bottom