Una uhakika ITC imefika?Anatakiwa kucheza mkuu watu tunataka magoli mengi
Viwanja vidogo havina watazamaji wengi hahahaaLigi si ndio imeanza? Sasa unaulizaje Baleke hachezi wakati kuna mechi 29 za ligi kuu, mechi takribani 9 za CAFCL na FA mechi takribani 5
Kwani Yuko timu gani?Mbona Baleke Hachezi wajameni. What is going on?
Mechi ngapi za CAF?Ligi si ndio imeanza? Sasa unaulizaje Baleke hachezi wakati kuna mechi 29 za ligi kuu, mechi takribani 9 za CAFCL na FA mechi takribani 5
Ndiyo timu yake hiyo Bench FC.Mbona mechi ya ngao alikuwepo kwenye benchi