Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Wanaita mgogoro wa kimaslahi kati ya kampuni moja na jingine hasa mnapofanya biashara ya aina moja...ila sema kama mtu brand yako ni kubwa kwenye makubaliano mnaweza kuondoa baadhi ya vipengele (kwa nchi yetu inakuwa ngumu kidogo kutokana na wasanii wengi wanakimbilia matangazo hivyo unasaini kile ambacho unaletewa maana usiposaini atasainishwa mwingine)alichosema mkuu pale juu ni kweli boss haya makampuni yana wivu sana utakuta voda mkataba wao unamkataza diamond asiperfom kwenye jukwaa lolote ambalo mdhamini wake mkuu ni kampuni ya mawasiliano.
Mbona ile siku anaongelea ishu ya hamisa alivoulizwa akajibu kuwa atafanya?? Japo sio mikoa yote lkn alisema ipo mikoa ataonekanaDiamond ana mkataba na Voda na fiesta ni ya Tigo...mkataba unambana
Mh basi sawa nilikuwa sina taarifa rasmiMbona ile siku anaongelea ishu ya hamisa alivoulizwa akajibu kuwa atafanya?? Japo sio mikoa yote lkn alisema ipo mikoa ataonekana
Beka alifanya tamasha na ITV pale dar live....hilo n kosa kubwa sana!Diamond ana mkataba na Voda na fiesta ni ya Tigo...mkataba unambana
ITV na CLOUDS hawapatani?Beka alifanya tamasha na ITV pale dar live....hilo n kosa kubwa sana!
Kibiashara, inawezekana kabisa mkataba ukambana hata kama Tigo wanadhamini Fiesta kama brand na sio wasanii!Pale anakwenda kutumbuiza sio kutangaza bidhaa za tigo kwani tigo wamedhamini fiesta kama brand na si wasanii wanaotumbuiza (sina uelewa wa haya mambo ila nadhani baadae atashiriki kwenye baadhi ya mikoa)
Fid QFiesta ni ya wasani wasiojielewa kama kina kiba rayvan na wengine wasani vilaza kama wew
Habar zenu wanajamvi
Nimekua nikijiuliza sana bila majibu mbona Beka flavour hayupo katika tamasha hili la fiesta,
Kwa anayeweza kufahamu sababu tunaomba atusaidie kutujuza kinachoendelea....
Nawasilisha
Yes inawezekana yote kutokana na ushindani wa kibiashara pia na aina ya mkataba baina ya Voda na Diamond hasa ukizingatia mikataba yetu kibongobongo naweza nikaiita "vigezo na masharti" kutokana na vifungu vyote vya mkataba vinaandikwa na pande moja alafu upande mwingine unaopokea hela kazi yake kusaini kumbe na huo upande kutokana na kutambua thamani yake unatakiwa baadhi ya issue wanatakiwa kujadiliana (ila kwa hofu ya kukimbiwa inabidi tu uanguke mkwaju)Kibiashara, inawezekana kabisa mkataba ukambana hata kama Tigo wanadhamini Fiesta kama brand na sio wasanii!
Mosi, Fiesta yenyewe tayari inaitwa TIGO Fiesta! Jina peke yake tayari ni mgogoro kwa Brand Ambassador ambae ni mshindani wa Tigo!
Hata hivyo, yote inategemeana na mkataba unavyosema. Mkataba unaweza kumfunga Diamond au usimfunge!
Kwa jinsi hali ilivyo, VodaCom wanaweza kuwa na haki ya kuweka kifungu kinachomfunga Diamond kushiriki Fiesta kwa sababu, tayari Fiesta yenyewe inam-promote mshindani wa VodaCom.
Kweli kbs Jodoki . Hata Diamond atashiriki Fiesta ni wakati wake bado,wanasajili kidogo kidogo.Pale anakwenda kutumbuiza sio kutangaza bidhaa za tigo kwani tigo wamedhamini fiesta kama brand na si wasanii wanaotumbuiza (sina uelewa wa haya mambo ila nadhani baadae atashiriki kwenye baadhi ya mikoa)
No! Hata mwaka jana hakushiriki kwenye Fiesta! Hata hivyo VodaCom walifanya kitu ambacho nadhani kililenga kuwaridhisha mashabiki wa Diamond na labda pia, kumpa Diamond nafasi ya kupata kile ambacho angepata kwenye Fiesta.Yes inawezekana yote kutokana na ushindani wa kibiashara pia na aina ya mkataba baina ya Voda na Diamond hasa ukizingatia mikataba yetu kibongobongo naweza nikaiita "vigezo na masharti" kutokana na vifungu vyote vya mkataba vinaandikwa na pande moja alafu upande mwingine unaopokea hela kazi yake kusaini kumbe na huo upande kutokana na kutambua thamani yake unatakiwa baadhi ya issue wanatakiwa kujadiliana (ila kwa hofu ya kukimbiwa inabidi tu uanguke mkwaju)
Ila navuta kumbukumbu kama mwaka jana alishiriki but sina uhakika (pia hata aliedhamini sikumbuki labda nitacheck nikitulia)
Ahsante kwa kuweka kumbukumbu sawa kiongoziNo! Hata mwaka jana hakushiriki kwenye Fiesta! Hata hivyo VodaCom walifanya kitu ambacho nadhani kililenga kuwaridhisha mashabiki wa Diamond na labda pia, kumpa Diamond nafasi ya kupata kile ambacho angepata kwenye Fiesta.
Kama utakumbuka, baada ya kwisha Fiesta, VodaCom wakamwandalia Diamond show kubwa sana ambayo iliitwa VodaCom Wasafi Beach Party. Fiesta iliisha Novemba wakati VodaCom Wasafi Beach Party ilikuwa December kuelekea X-Mass!!!
Nakumbuka walitaka kufanya ile show na kwenye mikoa mingine lakini nadhani wakaona ama ingekuwa loss making show au timing ilikuwa mbaya manake ilikuwa ndo inakaribia mwaka mpya!
Hapana, sio sahihi!! Hata hivyo, Ali Kiba ameshapita level za kuzunguka na Fiesta! Yule angekuwa ni mtu wa kukaza alitakiwa awe ni mtu wa kwenda baadhi ya show tu lakini sio kila mahali!Navojua saivi wana sajili kutokana na mikoa wanayo enda, sio kama zamani mtu ana piga show mwanzo mwisho
Kama unafatili Alikiba kapiga show 2 tu sasa Arusha na Mwanza, so ni mapema kujudgeHapana, sio sahihi!! Hata hivyo, Ali Kiba ameshapita level za kuzunguka na Fiesta! Yule angekuwa ni mtu wa kukaza alitakiwa awe ni mtu wa kwenda baadhi ya show tu lakini sio kila mahali!
Ningekuwa ndie meneja wa Kiba ningesema huyu level zake ni Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar pekee lakini sio kuzunguka nae kwenye Coaster!
Na kama Diamond Platnumz atakuwepo Dar es salaam Fiesta, basi kama wanajitambua Kiba na management yake wanatakiwa kugomea hiyo show manake itaonesha wazi kwamba Diamond alikuwa reserved for the big show as a lead artist kama ambavyo zamani hao lead artists walivyokuwa wanatoka nje!
Si kweli, kwanza Mengi hajawahi kuwa na bifu na hao watoto wa Clouds, pili hiyo show ya ITV imekuja baada ya Clouds kuwa wameshatangaza line up yao. Tatu, mbona Wasafi wameandaa show yao Dar kipindi hiki wakati Fiesta inaendelea na hakuna tatizo?Beka alifanya tamasha na ITV pale dar live....hilo n kosa kubwa sana!
Kama ina make hela basi ina make senseHapana, sio sahihi!! Hata hivyo, Ali Kiba ameshapita level za kuzunguka na Fiesta! Yule angekuwa ni mtu wa kukaza alitakiwa awe ni mtu wa kwenda baadhi ya show tu lakini sio kila mahali!
Ningekuwa ndie meneja wa Kiba ningesema huyu level zake ni Arusha, Mwanza, Mbeya na Dar pekee lakini sio kuzunguka nae kwenye Coaster!
Na kama Diamond Platnumz atakuwepo Dar es salaam Fiesta, basi kama wanajitambua Kiba na management yake wanatakiwa kugomea hiyo show manake itaonesha wazi kwamba Diamond alikuwa reserved for the big show as a lead artist kama ambavyo zamani hao lead artists walivyokuwa wanatoka nje!
Of course, ni mapema kwahiyo let's wait and seeKama unafatili Alikiba kapiga show 2 tu sasa Arusha na Mwanza, so ni mapema kujudge
Issue sio ku-make hela but do you make hizo hela! Ukishajiweka cheap, unaweza kupiga shows 5 ukaingiza 100M wakati mwenzako anapiga show moja tu au mbili huku nae akiingiza 100M! Your price ndiyo itakayo-determine wewe ni mtu wa shows za namna gani na hata promoters wako watakuja kutokana na status uliyojiwekea! Ndo maana sikushangaa ni mwaka jana tu hapa promoters wa Dom walitaka kumzingua Kiba hadi akagoma kupanda jukwaani. Hii inaonesha bado hata promoters uchwara wanaotegemea gate collection wanaona wana hadhi ya kumchukua Kiba wakati hiyo level ameshapita!Kama ina make hela basi ina make sense