Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Zamani ikifika mwaka wa uchaguzi mkuu serikali ya CCM ilikuwa ikiwahadaa watanzania Kwa kulegeza maisha vitu kama kushusha bei ya mafuta, chakula N.K kutafuta kura.
Lakini kipindi hiki Wala hawajali wanajiamini balaa. Yani Wana uhakika wa kushinda uchaguzi bila hata kujali ugumu wa Maisha ya watanzania.
Lakini kipindi hiki Wala hawajali wanajiamini balaa. Yani Wana uhakika wa kushinda uchaguzi bila hata kujali ugumu wa Maisha ya watanzania.