Mbona CHADEMA inazidi kuimarika pamoja na mizengwe ya watawala hawa ?

Huu ndio ukweli kuwa Lissu ameikomaza CHADEMA

Kila kona wanapigiwa chapuo kuwa sasa wapo kwa maslahi ya mtanganyika

Wanaumgwa mkono tena kwa kila msimamo wao. Kumbe wapo sahihi hata kususia uchaguzi
Kususia uchaguzi lilikuwa ni hitaji la Wananchi kwa Muda mrefu sana. Sema walikosa Mtu mwenye Maamuzi Magumu wa kuguide kiuongozi.
 
Labda Inaimarika hapo sebureni kwenu we na mumeo. Huku nje mitaani habari yote ni Mama Samia tu; kwa kheri au kwa ubaya lakini Kila mtu NI YEYE tu. Na hilo ni jema sana Kwakweli.
 
Nenda Zanzibar katafute wafiraji. Acha kusumbua warume
 
Labda Inaimarika hapo sebureni kwenu we na mumeo. Huku nje mitaani habari yote ni Mama Samia tu; kwa kheri au kwa ubaya lakini Kila mtu NI YEYE tu. Na hilo ni jema sana Kwakweli.
Maadui wa Samia mnazidi kumfitini kwa nguvu zote,pamoja na kupewa posho bado mnampaka mafuta kwa mgongo chupa?
 
Back
Top Bottom