Makolo mna propaganda za kiKEIiiiUyo atakua Chama cha mapinduzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolo mna propaganda za kiKEIiiiUyo atakua Chama cha mapinduzi.
Tofautisha kati ya tetesi na official report!!Kwa mchezo unaoendelea sasa hivi Chama yupo kwenye list ya wachezaji ambao wapo benchi.
Hizi tetesi kwamba yupo bongo imekuwaje?
View attachment 2047771View attachment 2047772
[emoji23]Uyo atakua Chama cha mapinduzi.
Kuna Chama cha mapinduzi piaKwani Chama duniani ni huyo mmoja tu?
Kweli waongo maana issue ya morison ilienda hadi cas mwishoe ikabidi morison alipwe ingawa tuliambiwa ana mkatabaSimba waongo waongo Sana...
Yule wa manyani naye hakukoseaAliewaita makolo hakukosea
Hao ndio Simba na akili zao, juzi wametoka kufoji barua ya CAF kuhusu udhamini wa GSM. Kiufupi Simba imegeuka kikundi cha wahuni.Kwa mchezo unaoendelea sasa hivi Chama yupo kwenye list ya wachezaji ambao wapo benchi.
Hizi tetesi kwamba yupo bongo imekuwaje?
View attachment 2047771View attachment 2047772
Mchongo wa Mcongo mwenzake Ibengwe...Heee, TK masters kutoka Dar Young Africans SC anamuweka benchi chama kutoka Makolo fc?
CUF tena? Emayel alikuwa sahihi 100%Hao ndio Simba na akili zao, juzi wametoka kufoji barua ya CUF kuhusu udhamini wa GSM. Kiufupi Simba imegeuka kikundi cha wahuni.
Huyo ndo uto[emoji23][emoji23][emoji23]CUF tena? Emayel alikuwa sahihi 100%
Hata Rage alikuwa sahihi 100%CUF tena? Emayel alikuwa sahihi 100%
Au jana alikua ktk bench la Simba B?Kweli waongo maana issue ya morison ilienda hadi cas mwishoe ikabidi morison alipwe ingawa tuliambiwa ana mkataba
Mashabiki ya nyau ni majuha! Mhindi anayachezea kadri anavyotaka!Kwa mchezo unaoendelea sasa hivi Chama yupo kwenye list ya wachezaji ambao wapo benchi.
Hizi tetesi kwamba yupo bongo imekuwaje?
View attachment 2047771View attachment 2047772
Mbona jana walitoa Breakingnews kuwa Chama amevunja mkataba na timu yake ya Berkane na tayari amesaini Simba?Simba waongo waongo Sana...