Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Unalolisema ni kweli maana kila nikipita kijiwe lazima nimkute anabebika.KK anamichepuko kila kona me nimemshindwa kwakweli
Halafu hebu nitajie kapo yako kwanza
Mimi sina kopo bana, Dada yangu emmyta amenikataza[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]