Unalolisema ni kweli maana kila nikipita kijiwe lazima nimkute anabebika.KK anamichepuko kila kona me nimemshindwa kwakweli
Halafu hebu nitajie kapo yako kwanza
Safari njemaNapita tu
Pole sana[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]yaan mpk dakika hii sijapata siamini[emoji19] [emoji19]
Hiyo avatar tuu [emoji7]Mkuu Daby nipo nasugua goti kimya kimya japo nipate hata ajuza tu potelea mbalii [emoji4][emoji13][emoji13]
Asante rafik angu...haha umesema kwa kunihurumiaPole Inna
Kweli maana ombi langu la kule kijiweni umelipokea vizuri hadi nimefurahi[emoji2] [emoji2] [emoji2]Asante rafik angu...haha umesema kwa kunihurumia
Ohoo haya pambana itapatikana tugirisi mama ya kulainisha vyuma
Sikunying sana..namwonaga tu huku kwa mbaliiiiiKoh mtakatifu yameisha?
Asante[emoji17] [emoji17] atapatikana tu mwingineTeh
Pole ndiyo ukubwa huo
Haha yanatoka wap au unantafutia?Nimeskia kilio chako majibu yapo njiani.