Na nani sasa??Nipigweee
Si yule mrembo wake huku....me nakutaka ww!Na nani sasa??
[emoji20] [emoji20] [emoji20] naomba adhabu,ila sio kali tafadhali....Ijuma....
Jumamosiii
Jumapili....
Teh teh..Hata kwa Kasinde??..Bro, siku-qualify popote aseeh
Ngoja tu nicheke kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unatabasamu mchuchu hajatajwa nini
Huyo hana shida..Mzungu wa roho..Atakua ndo huyo
hheee!!...ina maana hukunielewa au?[emoji125][emoji125][emoji125]yaan mpk dakika hii sijapata siamini[emoji19] [emoji19]