Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mbona ndo mwaka umeanza mkuu... January hii ngoja tumalize kulipa hela za kodii
kodi lazima zilipwe tu jiandae mapema, na sound za mwezi ujao nitatoa uache.
 
Nilipojiunga JF dec 2016,Niliikuta couple moja tu ndo ninayoamin ya ukweli sema ban iliwaharibia mudi ya kuzurura mitaa ya JF. Hizi zilizofuatia za 2017 siamin kama kuna ya ukweli hapo bali ni ile kupaishana tu mitaa ya JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…