Haha, oouh kule nikimiss likes ndiyo nakuja
aseeeh!Kwanza niseme Asante Order yako nmeipokea !!. Nanishukuru kwa kunipa iyo nafasi maana umeniona nafaa kufanya ivo .
Take it Sweetheart , Persistency will achieve a Difficult Objective!.
Tupo pamoja saaana lazima tuwekane sawa pale tunapokengeuka,.[emoji6]Sema tuvumiliane Mkuu..undugu nikuchanana laivu pale mambo yanapokua sio sawa !!
Tuvumiliane aiseeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] maana naona umeshukuru kiuonyogeee
Huyu ndio wifi mpya?cherie neisha sio vizuri kupita bila kunisalimia.
Kwani unafikiri unanistua, hata mimi ni dada yako.Mdogo wangu huyu
Pamoja sana Bazazi..Msalimie Cute b..Mwambie nimeleta vifuniko special kwa ajili Yake.Apitie dukaniBro nashukuru saana. Kumbe bado urafiki upo! Nashukuru saana kwa kunisajest hapa....!
Ufanye hivi mara nyingi bro
Nikue nini?Teh
Lala ukue wewe.
Ili unifanyie nini?Mkubwa mkubwa
Kuna ambao nimewasahau hivyo, bado sijamaliza.