Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo lukuki sema zingine kimya kimya zingine wanafanya utani utani kumbe papa zinatolewa.
Ila wewe mgumu kwa couple kinoma yaani viserengeti naonaga vinakuja unavitolea.
Unikumbuke katika huo ufalme! umepewa udalali wa kumtaftia mtu na mtu mwenyewe nafaa kuwa mm coz mm sio mtu tu bali mtu makini!Usijal ndugu yangu ngoja nianze michakato
The bold na nifah kuna linaloendelea nyuma ya pazia pengine washamwagana! maana Nifah haonekani tena since july 03 2017.
ebu acha utani mie kwani ninayo?
Halafu wewe hauna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi sote ni ndugu mkuu,Poa haina shida Mkuu !!uwe unanipa updates basi ili kuepuka usumbufu alafu niwe na Tumaini la uhakika.
Ujue mpaka nikasema huyu nisababu ya ID fake sasa hataki kuniletea USO USO ?? Ndo maana nikasema ukishindwa nitumie kwa basi namm nikutumie ili kila mtu abaki kua "Mtu asojulikana".
Basi sawa mkuu ukumbuke Christians tunahimizwa upendo Wetu kujengwa katika matendo ...tukaambiwa mtendee mtu jambo ambalo naww unapenda kutendewa ..hii inaonyesha upendo haina ya ndugu ,rafiki nilazima ujengwe ktk Matendo .[emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi sote ni ndugu mkuu,
naomba unitafutie mchumbaBasi sawa mkuu ukumbuke Christians tunahimizwa upendo Wetu kujengwa katika matendo ...tukaambiwa mtendee mtu jambo ambalo naww unapenda kutendewa ..hii inaonyesha upendo haina ya ndugu ,rafiki nilazima ujengwe ktk Matendo .
So make sure undugu wetu unakua in needs and in deeds !!. Nadhani hii itaongeza nguvu ya kuaminiana napia nafasi ya kusaidiana zaidi nazaidi .
Leo nmeamua nikuchane laivu laivu mkuu ,, nikweli ID fakes ila we shud be really katika masuala muhimu yenye kunufaisha pande zote !!.
[emoji120] [emoji120]Basi sawa mkuu ukumbuke Christians tunahimizwa upendo Wetu kujengwa katika matendo ...tukaambiwa mtendee mtu jambo ambalo naww unapenda kutendewa ..hii inaonyesha upendo haina ya ndugu ,rafiki nilazima ujengwe ktk Matendo .
So make sure undugu wetu unakua in needs and in deeds !!. Nadhani hii itaongeza nguvu ya kuaminiana napia nafasi ya kusaidiana zaidi nazaidi .
Leo nmeamua nikuchane laivu laivu mkuu ,, nikweli ID fakes ila we shud be really katika masuala muhimu yenye kunufaisha pande zote !!.
Sina ningejipendelea kujiweka juu. Ila unavyopapenda MMU siku hizi tegemea kumpata.
Shunie kahamia kwa Steve Mollel
Makubwa haya kwahiyo Steve ananikula naye haya acha nikubali tu kuwa nakulwaAseeh, asante kwa updates.